Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 71,988
- 177,222
Hahaha!!!Ndo shida ya kuzaliwa mdogo na kupishana na gari za mshahara kama ivi.
Hahaha!!!Ndo shida ya kuzaliwa mdogo na kupishana na gari za mshahara kama ivi.
mama mama huyooo mama mama huyooo mama mama huyooo mamaaa 🥰🥰🥰🔥🔥🔥🔥Aaaah inamana umenishika taitiiiiiii
Umenibana unanifanya kwako sikurupukiiiiii🤫😉♥️
View attachment 2239893
Sijui hata namuimbia nani walahi!!!🤷🤷
Hahah!Hamna sema ufuatilii anza sasa kufatilia hususan kama ukiwa unakarbia mambo zenu zile au pia kama ni mjamzito
..joto limenikataa kabisa.Ah utapata tuSina permanent solution sasa![]()
Samahan sana, mie mdogo nilishindwa kum miliki baba ako?msieeeeeew.




la jeansGauni lako zuri
Ni la kitenge?
Samahan sana, mie mdogo nilishindwa kum miliki baba ako?msieeeeeew.![]()

Ahaaaaa they're all doing well anko ! They just miss you alot ankali!!Wajomba zangu kina Junia bwanaaaaaa ( in McBonike voice ) ndio nauliza hali zao
😅😅😅Wewe,boss ledi na Coca mnifundishe hayo matumizi yake![]()
Hela yake sasaAh utapata tu
Tafuta dermatologist akupe ushauri mzuri wa ngozi yako .

Jambo jema la kumshukuru Mungu na nina furahisi kusikia hivyo 🙏Ahaaaaa they're all doing well anko ! They just miss you alot ankali!!
Asije akanipiga tu na vitubeAh utapata tu
Tafuta dermatologist akupe ushauri mzuri wa ngozi yako .
Astaghfirullah unankumbusha marehem babanguSamahan sana, mie mdogo nilishindwa kum miliki baba ako?msieeeeeew.![]()

Kumbe chalii tu weye!🤨🤨🤔🤔😀 cc mahondaw
la jeans

Sasa hayo makoro koro nn? Mshamba wa kishumundu kavamia nchi ya watu, tabuuu tupu woiiiiiiih,cc mahondaw






Fanya mazoezi basi kunywa maji mengi usipake mavitu mengi usoni punguza kula kataperaAsije akanipiga tu na vitube
Nasubiri hivi