Aaliyyah
JF-Expert Member
- Mar 20, 2022
- 19,988
- 48,486



Minza, nimekumbuka mbaaali dahShemeji langu hiloooo!
Hujambo lakini?
Akina Minza wangu hawajambo?
Mnooooooooooo! Asavali umekumbuka mwenyewe!!😌Kumbe zile cc:mahondaw uwa unakereka 😀
Nafurahi kusikia hivo anko!!😉Marahabaaaaaa Shangaziii .. Wajomba hawajambooo 😍😍
Tandam hio![]()
Wanaume tumeubwa (Mustafa Nanga) mateso, mateso
Kuangaika
Mwanamume unapopatwa na matatizo, macho hua mekundu
Kwa hasira, lakini katukatu usikate tamaa
Wanaume tumeubwa (tumeubwa) mateso, mateso
Kuangaika
Ukipatwa na jambo usiende kwa waganga
Kwanza omba Mungu, akusaidie
Wanaume tumeubwa (Nasibu) mateso, mateso
Kuangaika
Ukipatwa na jambo usiende kwa waganga
Kwanza omba Mungu, akusaidie
Wanaume tumeubwa (Mwanagu, eeh) mateso, mateso
Kuangaika
![]()
![]()
Moja basi mkemiaUsiku mwema wapendwa 🚶🏽♀️🚶🏽♀️🚶🏽♀️🚶🏽♀️🚶🏽♀️🚶🏽♀️😴😴😴😴😴😴😴😴😴😴😴 !
Haupendagi ugali wewe?
Ngoja niangalie mdogo wangu sina hata mpya lakini!!Moja basi mkemia
NasubiriNgoja niangalie mdogo wangu sina hata mpya lakini!!
Maisha bila ugali yafaa nini?Haupendagi ugali wewe?
Hiki kidevu mbona kinafaa kwa matumizi fulani hivi eti mahondaw au nakosea best😜Multiple rashes on fore head mji una wenyewe huuView attachment 2239875
Sent from my SM-G960U1 using JamiiForums mobile app
😅😅Hiki kidevu mbona kinafaa kwa matumizi fulani hivi eti mahondaw au nakosea best😜
Unazitoaje?Multiple rashes on fore head mji una wenyewe huuView attachment 2239875
Sent from my SM-G960U1 using JamiiForums mobile app

Mimi zitaniisha tu zenyew nmesafiri sana kipindi kilichopitaUnazitoaje?
Mimi mwenyewe zinanitesa![]()
Hatari mkuu 😬😬