Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Siku hizi vijana wameokoka, hela wanatafuta sana na swagga kama zote. Hapo ndiyo unasema kwa maconfidence "I bagged myself a good man".

Kwani hawamuoni braza big humu?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]


Sent using Jamii Forums mobile app
Au wanakutana na walokole wa kijijini ambao hata shule kichwani haipo?


Big ni mfano mzuri wa walokole wenye exposure 😃
Halafu wapo wengii..
Ulokole wa bila maarifa ulipitwa na wakati.


Tuna kizazi Cha kisomi kinachomjua Mungu vizuri.

Unaakutana na mtu hadi unashindwa namna nzuri ya kumshukuru Mungu maana amepitiliza vigezo ulivyoomba.
 
Unakutana na mtu hadi unashindwa namna nzuri ya kumshukuru Mungu maana amepitiliza vigezo ulivyoomba.
Abeeeeee 🤣🤣🤣

Nafikiri watu wengi bado wana ule mtazamo kuwa walokole ni watu losers, waliojikatia tamaa, wapowapo tu. Ilhali siku hizi kuna vijana wanaojitambua (wenyewe tunasema wanaume wa maana) na wameamua tu kumtafuta Mungu kwa hiyari yao. Total package
 
Abeeeeee 🤣🤣🤣

Nafikiri watu wengi bado wana ule mtazamo kuwa walokole ni watu losers, waliojikatia tamaa, wapowapo tu. Ilhali siku hizi kuna vijana wanaojitambua (wenyewe tunasema wanaume wa maana) na wameamua tu kumtafuta Mungu kwa hiyari yao. Total package
Unaitika sijakuita😂

Ewaa,full package.
Umemaliza.


Walokole siyo losers siku hizi.
 
Mweeh
FB_IMG_1653563671660.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh itakuwa mlokole asiye na swaggg.

Umkute kijana amesoma vizuri,mstaarabu vizuri,anajua kuandika vizuri aisee...mbengo mbona zinafongoka mbele kwa mbele.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3] mtu anatongoza kwa ktumia vifungu vya bible? Woiiiiiiiiih mie staki lol
 
Back
Top Bottom