Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Hahha Kwanza nasikia vijana waliokoka sio watamu(msije na povu nimeskia tu[emoji23]
Labda wasio na hela..

Kuna namna vijana wanaokoka halafu wanabweteka tu,mtu muda wote anasali tu hafanyi kazi.
Mtu hata hajipendi yaani.

Vijana wa kilokole siku hizi ni magentlemen...muonekano wao unavuta,kazi wanafanya,maombi wanafanya.
 
Huyo hajapata wokovu wenyew huyo [emoji1][emoji1][emoji1] sijawaonaga waliochangamka
 
Back
Top Bottom