Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Wanyaki na maavokado yao dah [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Screenshot_20220524-194337.jpg
 
Eti kashindwa kulikontrol jimbo wakati jimbo linapenda kuwa kontrolidi....

Usikute Mnyaki wa watu kachoka kuzunguka na maavokado yake kwenye mikutano ya Mwakasege [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji1727][emoji1727][emoji1727][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
hahahaha.mnyaki yy anakomaa na mwamposa.mara mwakasege. Wkt jimbo linataka liende scoan.liende kwa major one.sasa maavokado ya beseni huko kutaendeka?.mtoto kaona apige chini
 
Back
Top Bottom