Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Leo nimejikuta natafakari sana kuhusu huyu mwanamama.
Roho ikaumia...simjui though

Ila Mungu wa Mbinguni amponye,amtunze.
Nikajikuta namuombea.View attachment 2238745

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Dada Halima, namfahamu vyema mnooo, had nlikua na no yake, sema nlipoteza, ni driver mzuri sana, sema siku ya tukio haikua bahati kwake, na ajari haina kinga.

Kapoteza mkono, nimelia sana yaam mie. JAH amponye na kumpa tumaini tena.
 
Ujane mbaya jamani. Juzi nilipita dukani kwa aunt yangu; nikamkuta amejiinamia analia maskini (ukimkuta analia mara nyingi ni amemmiss marehemu uncle; huwa tunamjua). Alivyoniona ni kama akawa anajikaza asilie ila machozi yakawa yanashuka tu taratibu. Sasa si unatujua wanyaki na kulia; nikaunga tela
Mimi naandika tu humu michozi ishanitoka kitambo hadi nabanwa na mafua.

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Dada Halima, namfahamu vyema mnooo, had nlikua na no yake, sema nlipoteza, ni driver mzuri sana, sema siku ya tukio haikua bahati kwake, na ajari haina kinga.

Kapoteza mkono, nimelia sana yaam mie. JAH amponye na kumpa tumaini tena.
Nimepekua interviews zake kadhaa
Yaani nimejikuta naumia mno..
Ile picha imeniumiza mno.

Ila ashukuriwe Mungu amemuachia uhai.
Hilo ni la muhimu kuliko yote .
Na Yeye Mungu anajua namna gani atamtunza.

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
watuache kabisaa,. Wengine bila madesa tungedharaurika mnooo.

Utaskia "usimuone hivyo wala usimdharau ana Elimu huyo" hapo sasa navimba mie nusu nipasuke. Woiiiiiiih
Mimi ndio siendanagi na kadegree kangu

Na nilivyo na mwili mdogo,na pigo zangu za kwa Mwamposa.
Ukinikuta nacheza na watoto ama nipo nafanya usafi church.
Utasema mtoto wa fom tuu

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom