Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

nilikua nafanya assgnment.
Jack palladino ameachia assignment?
Kuna ticha alikuwaga na mambo ya kiwaki...alitoaga assignment hata 50 zinavuka😂😂😂😂
Imagine ile semester ilikuwa miezi 2..kipindi cha covid.

Afu jamaa mnashinda mnafanya assignment zake kisa tu naye anasoma kwahiyo anachukulia assignment zetu uwanja wa kujisomea🤣
 
Tumshukuru kwa kila jambo, yeye ni mkamilifu, hafanyi makosa, ni yule yule habadiliki na anakamilisha ahadi zake.

Mathayo 5:48, Basi ninyi iweni wakamilifu, kama Baba yenu wa mbinguni alivyo mkamilifu.

Zaburi 18:30-32. Huyu Mungu matendo yake hayana dosari! Ahadi ya Mwenyezi-Mungu ni ya kuaminika; yeye ni ngao kwa wote wanaomkimbilia usalama.

🙏 🙏
"In all things God works for the good of those who love Him, who have been called according to His purpose"
 
Jack palladino ameachia assignment?
Kuna ticha alikuwaga na mambo ya kiwaki...alitoaga assignment hata 50 zinavuka
Imagine ile semester ilikuwa miezi 2..kipindi cha covid.

Afu jamaa mnashinda mnafanya assignment zake kisa tu naye anasoma kwahiyo anachukulia assignment zetu uwanja wa kujisomea
Acheni uvivu

Sent from my SM-M305F using JamiiForums mobile app
 
Jack palladino ameachia assignment?
Kuna ticha alikuwaga na mambo ya kiwaki...alitoaga assignment hata 50 zinavuka
Imagine ile semester ilikuwa miezi 2..kipindi cha covid.

Afu jamaa mnashinda mnafanya assignment zake kisa tu naye anasoma kwahiyo anachukulia assignment zetu uwanja wa kujisomea
kuna huyu baba jaman sijui ndo stress, yaan assignment had 10 kwa mkupuo, mie ananiboaga sana.

Tulivyomdukua tukaja jua hana mke, tukasema ndo maan ana haha na kutukomoa sie, lenyewe linaona sifa.

Utaskia "hamjaja hapa kushangaa fly over"
Linaniboa mnooo mie.
 
Yaani 🔥
Unakuta hata nyingine hamjadiscuss kufumba na kufumbua alishaachia nyingine, Cr anaituma kwenye group🙌
Watu walikuwa wanatukana..
 
Back
Top Bottom