Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,248
Nimekosa Mimi,nimekosa sana,nimekosa Mimi.kuna watu wa kusema haya maneno na hutoshangaa, lakini huendani.
Nimekosa Mimi,nimekosa sana,nimekosa Mimi.kuna watu wa kusema haya maneno na hutoshangaa, lakini huendani.
Siyo kwa zile assignment.
Yaani imebaki wiki moja kuingia UE jamaa bado amekomaa nazo tu.
Tena ni za kupresentyule mwamba
Akiyanani nilihisi shule inanishinda.
Kumbuka tulicover mambo yoote tuliyotakiwa kusoma Kwa miezi miwili.







afu utaskia mtu cheti n karatasi tyuuh, kwann naye asichukue akasafishie haja yake. Sasahivi namuonea huruma mama yangu tu,najikuta natamani kuendelea.Nakuelewa. Mwanzoni kunakuwaga na mawazo magumu sana kwa sababu ya uchungu. But with time; yataisha tu na utapata kiu ya kuendelea kuishi.
Hapana nimemaanisha kwamba ni maneno ya kujikatia tamaa, na wewe huendani na hilo.Nimekosa Mimi,nimekosa sana,nimekosa Mimi.
Yaani
Unakuta hata nyingine hamjadiscuss kufumba na kufumbua alishaachia nyingine, Cr anaituma kwenye group
Watu walikuwa wanatukana..







yaan tena hapa chuon. Kuna mtindo wa kukomoana, kwenye matokeo sasa UE kheeeh mbna ni hatareee, yaan lect ana feel prouds theluth ya class kuwa na supp. Akachukua chake aone.afu utaskia mtu cheti n karatasi tyuuh, kwann naye asichukue akasafishie haja yake.
Nakerekwa mie.
Ile picha niliweka niliku tag, unakumbuka?Chaaaaah!
Yaani umenipiga sound za kuninyima picha,halafu unaomba picha😂
Kuwa na huruma.
Hapo anajiona mwamba imara.yaan tena hapa chuon. Kuna mtindo wa kukomoana, kwenye matokeo sasa UE kheeeh mbna ni hatareee, yaan lect ana feel prouds theluth ya class kuwa na supp.
Msieeeeew.
Si uliposti upo kwenye ndinga jmnNi usukani upi unaouzungumzia hapa?, i hope hujamaanisha kitu kingine mkuu🙄
HukunitagIle picha niliweka niliku tag, unakumbuka?
Nimekuambia nitakutag 🙂
Kwanini unadhani siendani nalo?Hapana nimemaanisha kwamba ni maneno ya kujikatia tamaa, na wewe huendani na hilo.
Ujane mbaya jamani. Juzi nilipita dukani kwa aunt yangu; nikamkuta amejiinamia analia maskini (ukimkuta analia mara nyingi ni amemmiss marehemu uncle; huwa tunamjua). Alivyoniona ni kama akawa anajikaza asilie ila machozi yakawa yanashuka tu taratibu. Sasa si unatujua wanyaki na kulia; nikaunga telaSasahivi namuonea huruma mama yangu tu,najikuta natamani kuendelea.
Nje na hapo,,siogopi chochote tena🤣
Kesho huendi kazini, au we ni mama wa nyumbani?Hukunitag
Ni mimi nilikomaa wee kuiomba.
Acha basi kuninyanyasa naomba picha hiyo😃
Mimi ni bekitatuKesho huendi kazini, au we ni mama wa nyumbani?
Sasa we kipi kinakukatisha tamaa, una cancer?, maisha yako yamekuwa ya hovyo kiasi gani mpaka useme hayo? kuna watu hawana macho, miguu, mikono na bado wana matumaini ya kuiona kesho.Kwanini unadhani siendani nalo?
hufanani na beki tatu, kesho utachelewa kazini.Mimi ni bekitatu
Tupia tu leo..ngojangoja huwa inachubua tumbo langu.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Akachukua chake aone.
Mimi nayaheshimu sana haya makaratasi yangu
Nilihaso aisee..kuna muda nikawa nahisi shule inanishinda..niliwaza nikifeli nitakuwa mgeni wa nani mimi.
Hapo wazee wamejipiga wee ili mimi niende shule.






watuache kabisaa,. Wengine bila madesa tungedharaurika mnooo. Ilibidi umnyamazishe nawee.Ujane mbaya jamani. Juzi nilipita dukani kwa aunt yangu; nikamkuta amejiinamia analia maskini (ukimkuta analia mara nyingi ni amemmiss marehemu uncle; huwa tunamjua). Alivyoniona ni kama akawa anajikaza asilie ila machozi yakawa yanashuka tu taratibu. Sasa si unatujua wanyaki na kulia; nikaunga tela
imekuwajeLeo nimejikuta natafakari sana kuhusu huyu mwanamama.
Roho ikaumia...simjui though
Ila Mungu wa Mbinguni amponye,amtunze.
Nikajikuta namuombea.View attachment 2238745
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app