Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Dada mpendwa hujaenda leo kwani?Picha Za kanisani Jamani
Wale wa mlima wa msisahau
Duuuh!! Sasa ukijiita kibonge sie wengine tujiitejehivi mbona watu wengi huwa wananiambia mimi siyo kibonge ni wa kawaida wakati mimi najiona kibonge??
Ila huyo aliyesema eti mimi ni chembamba sina mwili ndiyo kanishitua!!



😂😂😂😂😂Bwana asifiwe humu ndani..
Waliyoenda abudu natumai wametuombea na wengine tufike mwisho wa mwezi salama maana ndo kwanza tarehe 3 na tayari nishachacha!!
Mimi ameniamsha na keivanti. Shetwani hashindwi asee akiamua lakeShetani kaniziwia kwenda chachi... sio poa!!
Huyu sheitwan kapitia wengi leoMimi ameniamsha na keivanti. Shetwani hashindwi asee akiamua lake
Akati wewe ukisubiri uliwe denda lakutoka et?Yaani niangalie venye mtu anakula mwingine kabisaa?!
Hapana kwakweli ngoja niende hata misa ya watoto.. Maybe today it's my last shot in this worldMimi ameniamsha na keivanti. Shetwani hashindwi asee akiamua lake
Yan nikuje uko wanita praiveti meseji sijui masaji nikuambie vizuri.Mmhh hilo neno geni kidogo mkuu hebu 'eksiplen welo pliz'
Nakuja pm mtoto mtamu hivyo
Nimeenda kakaDada mpendwa hujaenda leo kwani?