Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

IMG_20220524_064751.jpg

Katika masuala mazima ya kupambana na "kitambi noma"
 
View attachment 2236361

Katika masuala mazima ya kupambana na "kitambi noma"
"Kitambi noma" wapi una mwili mwembamba hivyo bosi halafu toli? BMI yako si ajabu hata haizidi 20!

Leo nilikwenda kwenye annual physical yangu daktari ana kiranga huyu mama anataka nipunguze kilo 10 mpaka Juni 30. Hataki kabisa kuona ninakula ugali. Yaani hapa hata raha sina maana maisha bila ugali dah!

Nishirikishe mazoezi ya kuondoa hizi kilo 10 zisizohitajika mkuu ili nirudi kwenye kula ugali tena
 
Achana na mambo ya BMI ndugu yangu. Fanya mazoezi kwa afya, furahia maisha na uwapendao, epuka stress za rejareja Kisha kula ugali wa kutosha.

Utaambiwa usile hichi, acha hiki, lala masaa matatu, usivute sana pumzi, sijui kunywa supu ya maboga, wote tunakufa na miaka Ile Ile, hakuna anaeishi miaka 300. Hata hivyo unataka uende na mapafu safi huko tuendako unatarajia kuyauza?

Uzito wangu nachezea 65kg -70kg Kwa urefu wa 76 cm.

Kula ugali ng'wana wane.
 
"Kitambi noma" wapi una mwili mwembamba hivyo bosi halafu toli? BMI yako si ajabu hata haizidi 20!

Leo nilikwenda kwenye annual physical yangu daktari ana kiranga huyu mama anataka nipunguze kilo 10 mpaka Juni 30. Hataki kabisa kuona ninakula ugali. Yaani hapa hata raha sina maana maisha bila ugali dah!

Nishirikishe mazoezi ya kuondoa hizi kilo 10 zisizohitajika mkuu ili nirudi kwenye kula ugali tena

Pambana na mazoezi na ulaji wa mpangilio zitoke hizo kilo

kwa mwezi ukiamua zinatoka kabisa
 
Back
Top Bottom