Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Kheeh!kumbe?
Kama hivyo jf kila mtu ni hendisamu na biutiful

Mbona uku mtaani sipew hizi sifa?

Nina wasiwasi mkuu uliangalia pic yangu kwa mashaka ama umefananisha na ya mtu mwingine.
Ndo hapo mbna tuna marafiki wa kike maofisin mitaani na hawatuambii

Sent from my SM-G960U1 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom