Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,298
Mbona tayari?Unazingua eehh?[emoji2][emoji2]
Naenda zangu kulala...
Mbona tayari?Unazingua eehh?[emoji2][emoji2]
Naenda zangu kulala...
Mda unaruhusu hebu fanya hivyo rafiki yangu,unakwama wapi Anne?Una wa kukupepea ukizimia?
Anti sina deni naweNimekuona mjomba
Shukrani
Nimepitwa tenaNimekuona mjomba
Shukrani
Unawajua watu wa Mbeya sura zao?Mda unaruhusu hebu fanya hivyo rafiki yangu,unakwama wapi Anne?
Barikiwa sana antiView attachment 2236284
Usiku mwema
Same bella.View attachment 2236284
Usiku mwema
Mzungu wetu[emoji173]View attachment 2236284
Usiku mwema
Mzee wa kazi 😆Looking good brother!
Sema umenuna mzee wangu.
Aisee, uko na bahati mbaya leo.Nimepitwa tena
Akiyanani[emoji1787]
Atakua anazururaaAisee, uko na bahati mbaya leo.
Barikiwa sana anti
Mzungu wetu[emoji173]
Sikuwa targeted personAisee, uko na bahati mbaya leo.
lala sasaAmina mjomba...
Nazijua bana,Unawajua watu wa Mbeya sura zao?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wa mchongo,mchongoni[emoji2][emoji2]
Picha ipo kwenye avatar.Nazijua bana,
Anne unaweka ama ndio nilale?[emoji38] [emoji1787]