Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Tunamitazamo inayofanana sana kuhusu tunavyochukulia maisha. Asubuhi nakimbia kidogo natoka jasho, naingia kibaruani, jioni natembea sana ufukweni.
Tatizo lipo kwenye kula na kulala, ratiba haijakaa vizuri Bado. Lakini nakufanyia kazi.

View attachment 2236428
Asante kiongozi. Maisha ni haya haya hakuna mengine aisee. Nitaleta mrejesho!
 
Asubuhi njema.
99140B69-CD15-470D-8E63-AB67CAEA9ED3.png
 
Back
Top Bottom