Wigelekelo
JF-Expert Member
- Sep 2, 2018
- 8,765
- 26,902
Sasa ndio nini
Sasa ndio nini
Ahsante sana mlongo😍
Tupia na wewe chiefPicha ziendelee wadau....
Hili jukwa nimegundua ni la kupita mara kwa mara...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Begaaaaaaaaa[emoji179][emoji179][emoji179]
Kikao kilichopitaAhsante sana mlongo[emoji7]
💕💕💕💕💕Nilale mie,niwaache wakubwa mchart[emoji41]View attachment 2236016
Nasubiri selfie yakoKikao kilichopita
Tulikubaliana
Picha ije na sura
Wewe ni katibu
Inakuwaje sasa[emoji848]
Picha au umeona nini?Sasa ndio nini
Fungua PmNasubiri selfie yako
Hii hapa ChiefHebu nipe selfie moja unainywa ndipo niamini usemacho, we unaisimuliwa.
Washafuta hao[emoji28]Kuna picha hapa nimeona mdada ana tracksuit kapendeza sana mnene hivi imeenda wapi?
Unanitisha[emoji23]Fungua Pm
Nina sura ya japhee
Kimo cha kunzee
Ushalala au bado???Yako ya mwisho nilale
Zamani sio sana
Nilikuwa napiga kvant na konyagi
Now days
Nakunywa smooth [emoji1787]
We inabidi tuonane unionyeshe unavyoinywa ndipo niamini, nasikia we ni unaimba kwaya..
Ukiwa tayari nambie [emoji16][emoji16] ila make sure uko stress freeKhaa! Nitashukuru [emoji16][emoji16]
😅😅😅😅 Nitampa hela