Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji41]
IMG_20220522_162720_171.jpg
 
Pole kwa heka heka za ujenzi wa taifa

Mimi sijambo kabisa...

Ndo nimetoka kwenye ibada hapa...

Yaani full upako...

Yesu Akitokea sasa hivi mawinguni haki ya nani natoboa [emoji16][emoji16]

Mungu Atubariki shangazi [emoji1545]

Amina

Ubarikiwe na wewe pia...

Nakuombea huo upako uendelee kuwepo usipotezwe na kitu chochote kile kinachofanana na nundu ya ng’ombe[emoji2][emoji2]
 
Back
Top Bottom