Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

😅😅😅 Mie nitabaki nitatoka mchana mchana au jioni, afande nimempa maelezo issue yangu aifanye kuwa ngumu .. pia atake hela nyingi nyingi ili mie kutoka , hiyo ela ikitoka ndio tutaenda nayo mwanza kuanzia eeeh 😅😅😅😅
😂😂😂
Jamani FIB atalia sana maskin ukikaa had jioni

Itabidi usikae sana huko

Kuanzia j5 niko nitakua free hadi j2 so weka ratiba yako vizuri hapo
 
😅😅😅 Bora alie ila mpango ukamilie .. na hela watoe kukutoa wewe iwe nilion moja na mie milion tatu ... alie gongwa kafaa ili soo ife hiyo hela itoke chap kabla hakijanukaaa .. afande kasema flesh kabisaa yeye chake laki tano tuu mission ikamilike
 
🤣🤣🤣🤣🤣

Na Big boy & FIB wasivyopenda tupate shida watazilipa fastaaa.
 
Back
Top Bottom