Uliza kiatuu
Uliza kiatuu
ðŸ¤ðŸ¤ðŸ¤ tutaonana nao kesho watajiongeza wenyewe ni watu wazima 😅😅😅😅🤣🤣🤣🤣
Daah bonge moja la idea.
Wacha nianze kunyanyuka, usichelewe tukutane huko barabarani
🤣🤣🤣🤣🤣 mambo yanataka kwenda tofautiNimeona saturday nikakumbuka muba mube mubi
Haya nimerudi sasa, tupia mambo yanguUsijali mamaa pastaaa, tumependeza hadi tunajiogopaa .. 😀😀😀 Usichelewa sana maana leo tunaondoka tunaenda mlimani for 30 camp yaani..
Hayaa subiri asa kwanza nianze futa ushahidi wa ki mazingiraaa 😅😅😅Haya nimerudi sasa, tupia mambo yangu
Sitoki hapaHayaa subiri asa kwanza nianze futa ushahidi wa ki mazingiraaa 😅😅😅
Afadhali umekuja mama mchungajiSitoki hapa
Ongea nae mapema aandae mazingira.ðŸ¤ðŸ¤ðŸ¤ tutaonana nao kesho watajiongeza wenyewe ni watu wazima 😅😅😅😅
niongee na afande ili asubuhi waje watukute kabisa selo.. ili afande aunde mazingira mapemaaa 😅😅😅 tunaingia asubuhi hiyo hiyo kipindi wanakuja kututoa
Si nimeshaselfika asubuhi nkamuAfadhali umekuja mama mchungaji
Selfie tafadhali
😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣 mambo yanataka kwenda tofauti
Niwachee bina akuuuh, naomba nifundishe na mie niringe town.Mbona ni kinge cha shule ya msingi mwanangu![]()




Nkamu tuone ya baada ya church ulivyotokelezeaSi nimeshaselfika asubuhi nkamu
Kuna watu baada ya kuiona hii comment watakuwa wanavizia hapa kilaa sekunde 😂😂😂Anza kifanya mazoezi ya mbiyo na timing
Alaf hiyo jioni natupia ya elf 5
😅😅😅 Mie nitabaki nitatoka mchana mchana au jioni, afande nimempa maelezo issue yangu aifanye kuwa ngumu .. pia atake hela nyingi nyingi ili mie kutoka , hiyo ela ikitoka ndio tutaenda nayo mwanza kuanzia eeeh 😅😅😅😅Ongea nae mapema aandae mazingira.
Yaani hiyo asbh wakifika nikimuona tu Big boy naangua kilio hikooo hata muda wa kuniuliza warapen hataupata😂😂
Na kesi itakua kushney
Kuna watu baada ya kuiona hii comment watakuwa wanavizia hapa kilaa sekunde 😂😂😂
Ooh kaa hapahapaNkamu tuone ya baada ya church ulivyotokelezea
Karoho kana sita kujitundikaaa 😅😅😅 ila nimependeza nitakutumia PMOoh kaa hapahapa