Strawbella
JF-Expert Member
- Mar 24, 2021
- 1,758
- 5,803
Or even Dr dre...
It’s like they sampled still dre beat...

Scott storch is the best though...

Asante rafiki, mambo ya kukaa tu home yanaboa sana!!Pole rafiki
😀😀 Simpel tu hapo, unasema unaenda washroom na mie nasema naenda hapo dukani tunafunga simu tutaonana nao kesho , tutawaambia tuligonga mtu tukalala selo 😅😅Ngoja tushibe zen nimset Big boy aende na FIB, sa tutawapa sababu gani
umefanya niitafute... huenda ulikuwa ni mkono wa Scott alie changamkabwana mikamwamba
View attachment 2234238
Shangazi inabidi atupie ndio apotee Strawbella


Kweli kabisaAsante rafiki, mambo ya kukaa tu home yanaboa sana!!
Shangzi hujatupia bado au tayari nirudi post za juu juu 😅😅😅Ni kama wameiba(iga)beat ya still dre kila nikisikiliza huwa napata hiyo feeling...
Binamu nifundishe kingereza,Or even Dr dre...
It’s like they sampled still dre beat...
Scott storch is the best though...




Boss anatuchania mkeka 😅😅Nipo nilikua nampa bosi wangu msosi dogo ana njaa ya watu kumi![]()
Anza kifanya mazoezi ya mbiyo na timing
Alaf hiyo jioni natupia ya elf 5


Binamu nifundishe kingereza,![]()
Shangazi wewe usiwe na shaka kabisaMjomba usitufanyie hivyo
Unajua shangazi mtu mzima hana mbio mtumie kwa barua![]()
Shangazi wewe usiwe na shaka kabisa
Ya kwako utaipata bila purukushani
🤣🤣🤣🤣😀😀 Simpel tu hapo, unasema unaenda washroom na mie nasema naenda hapo dukani tunafunga simu tutaonana nao kesho , tutawaambia tuligomba mtu tukalala selo 😅😅
Hapo nimetumia dictionary
Na nishameza panado si kwa kuuumwa kichwa huko na hiyo brokeni inglishi







aaaah wapi wee. LolNimeona saturday nikakumbuka muba mube mubi