Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

So in everything; do to others what you would have them do to you; for this sums up the Law and the Prophets


Basi yoyote myatakayo mtendewe na watu, nanyi watendeeni vivyo hivyo; maana hiyo ndiyo torati na manabiiView attachment 2233998
Badae nitatupia leo nikiwa nimetinga suti matata na mamaa kala pigo flani hivi za ki miss independent 😎😎😎
 
8FFFEEDC-8313-4EE2-B922-4AAD301D334F.jpeg
 
The Golden Rule...
View attachment 2234006

Ibada njema Mama Mchungaji. Tuombee na sisi...[emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Yeye ni upendo, ukiishi na kutembea katika upendo basi fruits of spirit tutaziona na kama tukizona basi Mathew 7 12 mtu atasihi.. Mungu ni mwaminifu tuzidi kumuomba neema zake katika tusiyo yaweza...

Wiki yote nimekuwa naomba Mungu anipe neema ya utii, neema ya kuomba zaidi, neema ya kufunga , neema ya kujitoa kama dhabiu , neema ya unyenyekevu , neema ya kuchukia uovu, neema ya kuto kutenda dhambi, nimekuwa naomba .. maana bila yeye hatuwezi neno wala hatuwezi fanya jambo lolote
 
Back
Top Bottom