cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 112,101
- 181,175
Shangazi picha iko wapi?Vocha vipi boss jmn natak nicheck movie online hapa![]()




Shangazi picha iko wapi?Vocha vipi boss jmn natak nicheck movie online hapa![]()




Nitumie namba Pm nikuunge bundle 😺😺Vocha vipi boss jmn natak nicheck movie online hapa![]()
*104*767661958048759#Wee acha uongo wako, weka hapa lol
Leo tunagombani wote akiweka wa kwanza mshindiWee acha uongo wako, weka hapa lol
Ulaya pazuri lol 😃😃Aliye mitaa hii tupeane hiView attachment 2234128View attachment 2234124
Hii si ya shangazi jaman au?*104*767661958048759#
Ni ku copy na ku paste
Kazi kwako
Vocha za humu huwa siwezagi kugombania, nakua buzzy sana na mambo mengi. Ndo maana huwa napitwa.Leo tunagombani wote akiweka wa kwanza mshindi
Hapa n IAA?Aliye mitaa hii tupeane hiView attachment 2234128View attachment 2234124
Salama vipi wewe ?Je hamjambo humu
mambo ya vimbweta yame nikumbusha mbaaali 😂😂😂😂.. Kwani nawe upo na Big Boy.. au Big Boy wako atoke na FIB na mie nitoke na wewee tyuuu 😅😅😅Sana, ukuje tuenjoy wote.
Njoo na FIB😊
Tajiri utagombaniaje bwana weeVocha za humu huwa siwezagi kugombania, nakua buzzy sana na mambo mengi. Ndo maana huwa napitwa.
Acha uchuro wako nawee, yaan mikosi unatoa mapema hivi hata nguvu za kuanza kutafuta pesa kwa uhakika sijaanza, duuuh ila Waja mweeeeh.Tajiri utagombaniaje bwana wee
Nitoe out basi nahamu kweli samaki 😅😅 tajiri tajiriiiAcha uchuro wako nawee, yaan mikosi unatoa mapema hivi hata nguvu za kuanza kutafuta pesa kwa uhakika sijaanza, duuuh ila Waja mweeeeh.
Ahsante sana best