Dormant Account
JF-Expert Member
- Apr 5, 2022
- 11,308
- 32,790
Tajiri wa roho mwenye heshima zake mjini usie na makuuNaanza hivi
Kuna voda ya chap
Wa kwanza kutuma text pm ya kwake hiyo![]()
Vocha vp
Tajiri wa roho mwenye heshima zake mjini usie na makuuNaanza hivi
Kuna voda ya chap
Wa kwanza kutuma text pm ya kwake hiyo![]()
Naanza hivi
Kuna voda ya chap
Wa kwanza kutuma text pm ya kwake hiyo![]()



wa voda mkuje hapa.Zimeshapanda za kutosha hapa mkuuTajiri wa roho mwenye heshima zake mjini usie na makuu
Vocha vp
Haha aisee Kuna watu wa speed ya kunyakua vocha fasta afu wapo kmyaaZimeshapanda za kutosha hapa mkuu
Wajanja wamezilamba kimya kimya chap
Kikao kimeazimia kuanzia sasa zipande pm
Wewe na cocastic jambo lenu jioni jioni mida yetu ilee nitawaitaaaMe halotel 😃😃😃😃😃😃😃
umefanya niitafute... huenda ulikuwa ni mkono wa Scott alie changamka😎😎 bwana mikamwamba 😀
Shangazi inabidi atupie ndio apotee StrawbellaShangazi ametutenga sana
Utatufanya tuvunjike miguu kwa kukimbilia vocha 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kama tulivyokubaliana Big boy na Fib waondoke kivyao na sie kivyetu 😎😎
Ngoja tushibe zen nimset Big boy aende na FIB, sa tutawapa sababu ganiKama tulivyokubaliana Big boy na Fib waondoke kivyao na sie kivyetu 😎😎
Pole rafikiJumapili ya leo hata siielewi..View attachment 2234247