Hatareeeeh sanaaa, ukiona Jeep piga picha tuma humu nisuuze macho. [emoji6][emoji6][emoji6][emoji6]Wewee!
Hili ni bara zima na zipo mtu 332.4 million tu. Kuna mapori kila kona. Ukiruka juu ndo unayaona vizuri...
Mikeka yao naona wanaitunza vizuri kwa sababu nyasi zinafyekwa na mandhari inawekwa vyema hasa huko mbali na mji. Ni kukanyaga wese tu japo bei kwa sasa inatisha!
View attachment 2232387
Sijaona hata mbna? [emoji849][emoji849][emoji849]
Jaman mbna sijaona mie. LolOoh Asante
[emoji1545]
Kweli wewe una asili ya huko uarabuni
ok,wa wapi?
Tulikubalina leo tunashinda na wapenzi wetu imekuaje tenaa πππ mie napitia uzi wa Ukranine na Russia ni log outMorning my wanguππππ
Umeamkaje babygirl?
Ni hiyo menu tu? π€£π€£Morning my wanguππππ
Umeamkaje babygirl?
Unakaa kwa seat had matako yanauma lol, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Me nasalimia tu wadau hapa zeni niwe busy na Big boy wangu.Tulikubalina leo tunashinda na wapenzi wetu imekuaje tenaa πππ mie napitia uzi wa Ukranine na Russia ni log out
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3]Kha watanzania wamensishinda tabia haha
Yani wanaongea wengine imekuwaje miss kawa mmakonde .. mara wanasema kuna connection gani mamiss tz wawe na komwe hahaha [emoji23]
Uporo kama uporoππ
Weraa weraaaa. [emoji6][emoji6][emoji6][emoji6]Angel Alfred
Ni ud student halfu pis kali
Kapo confident kameongea English bila scratch na anatembea kwa madaha huyo
πππ aaah.. salamu jambo jemaa Big Boy lazima afurahie. nasoma soma habari za Putin na Zelenskyy ... FIB katulia hapo kalala miguuni anasubiri tukapike π π π nahisi kana njaaaMe nasalimia tu wadau hapa zeni niwe busy na Big boy wangu.
Umeamka poa? FIB vipi?
Unaomba mtu akupakate ππUnakaa kwa seat had matako yanauma lol, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Muda wa breakfast huu, log out pls mkapike mtoto wa watu asije kuzimia kwa njaa jamanππππ aaah.. salamu jambo jemaa Big Boy lazima afurahie. nasoma soma habari za Putin na Zelenskyy ... FIB katulia hapo kalala miguuni anasubiri tukapike π π π nahisi kana njaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaahUnaomba mtu akupakate [emoji3][emoji3]
Uporo mie sisinzii β¦ kitu ninywe uji wa lishe π€£ napataga wenge la usingiziUporo kama uporoππ
Ukitoka hapo kusinzia
π π π acha tukapike sie tule tupige mastory.. usisahu muandaa kisaikolojia Big Boy ivi lini tunaondokaMuda wa breakfast huu, log out pls mkapike mtoto wa watu asije kuzimia kwa njaa jamanπ
Hahaaa hua unadoea uji wa babygirl eehUporo mie sisinzii β¦ kitu ninywe uji wa lishe π€£ napataga wenge la usingizi
Kwani basi lote unakuwa peke yako unamkalia hata dereva[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaah
Km hayupo?