Kelsea
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 14,998
- 35,451
Sema mashindano ndivyo yanavyokuwa, unaeza kutwa wengi wana vigezo lakin shida nafasi ni moja tu.Ooh ni mfupi ndo shida
Hawa washindi wa pili huwa wanatapeliwa nafasi zao .
Happiness nilimpenda kwa kweli ni mrembo fulani hivi .. sema aliingia 13 bora