Mawardat
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 28,916
- 147,574
Hapo top 5,unahisi nani ataibuka mshindi?Hatari sana
Wachague tu tukalale
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo top 5,unahisi nani ataibuka mshindi?Hatari sana
Wachague tu tukalale
Namba 4 Ni Beatrice Alex
Yaani nilishangaa,Duh hawa wadada balaa
Sasa point ganj hizi
Mshindi wa tano Ni Ruth
Aliyekwama sauti
Mshindi namba tatu ni otaigo mwema
Ndo maana htushindi huko miss world
Hii ndo Tanzania aisee [emoji23]
Bado watatu[emoji23][emoji23][emoji23],halimaMshindi namba tatu ni otaigo mwema
Duh hawa
Wanampenda halima [emoji23][emoji23][emoji23]
Wanataka halima ashinde [emoji23][emoji23]
Hiyo ni ndoto ya mchana[emoji3]Ndo maana htushindi huko miss world
Bado sana aisee
Mtu anajibu ovyo hivyo
Basi wanachelewesha weh [emoji23]
Utaona kitu watakachokichagua wao[emoji23][emoji23]Basi wanachelewesha weh [emoji23]
Sio huyu
Yaani acha tu