Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Haaa sasa si unampa tabu sana FIB kulala mwenyew kila siku jaman

Umenikumbusha kipindi niko A level boarding, roommate wangu alikua na tabia ya kuongea usingzini😅
Tukitoka prep akisinzia tu anaanza kuongea yale aliyosoma
😀😀😀 Kazoe, alafu mie toka zamani hata ma ex wangu watatu ambao nilibahatika kuishi nao kwa nyakati tofauti hivyo hivyo kila mtu anakuwa na chumba chake ndani ya nyumba moja.. tulikuwa tunakutana kati ya chumba cha mmoja na wakati mwingine chumba cha tatu ila kila mtu atarudi kulala kwake 😀😀 na walizoe kabisa
 
😂😂😂😂
Aisee hii kali sijawah kuskia, kwahyo mmoja akimmis mwenzake usiku mnene anamfuata au unasubiri hadi asbh?
 
Hapo freedom ipo ya kwenda kwa mwenzako anytime unapojisikia , hata kupiga story na hata kulala kwa wakati mwingine ila kila mmoja ana chumba chake 😀😀😀
 
Aah kama hivyo fresh.

Me mchana ndio napenda nilale mwenyew, tena nijifungie kabisa chumbani na funguo😅
No distabansi
 
😀😀😀 Anytime napenda kulala mwenyewe.. nisichopenda kulala wawili unakuta usingizi umekoza unaanza kuzingulikhwa kuitwa au kushikana ... haya mambo huwa naboreka
 
Yanakata usingz balaa, ndio maana me mchana nafanya hvyo sababu usingiz ukishakata had uje tena aah sio leo
 
Back
Top Bottom