The Monk
Platinum Member
- Oct 12, 2012
- 20,318
- 46,058
Kwa ninavyoona bado umetepetaa boss karibu mtego wa simba uivee
Am more than fine Sir! Super Cool
Kwa ninavyoona bado umetepetaa boss karibu mtego wa simba uivee
Unaweka hyo nyimbo kwa sauti kubwa au we unafatilizia + vitendo kidogo😀😀😀 Sauti ya kuimba inatoka wapii .. mtu sauti kama roboti
😅😅😅Unaweka hyo nyimbo kwa sauti kubwa au we unafatilizia + vitendo kidogo
Yaani atakuona bonge la romantic, na sauti ataiskia nzuri balaa😂😂
Ooooh kumbeHuyo akifikisha 60 mgongo na kiuno lazima vipinde.
Siri ya kuwa na afya bora uzeeni na kuishi miaka mingi duniani kama mzee mwinyi Ni kutoendekeza mikazo kipindi cha ujana wako
Hahahahaaa😅😅😅 Ongea yangu tu ni romantic sihitaji kuimba .. ndio maana kila au basi
hiyo basi 😅😅Hahahahaaa
Eeh au basiiii😅😅😅
Ooh pole aiseeMy sister@Tinsley
Mtanange unaendeleaje??
Kwetu mvua kubwa,tanesco wanefanya yao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahsante,Ooh pole aisee
Wametoka kutoa mataji zile za miss photogenic , personality etc .
Tuansubiri chief judge amepanda hapo juu.
Pamenoga balaa
Yaani daah,naona tu mapicha huko fb kwenye page yao,watu na matabasamu tuPamenoga balaa
Ikifikia hadi hapa huendi kulala unasimamia show hadi mwisho

Mie navaaga mbona hawanikamati.View attachment 2232408
Tz wangenikamata..
Mh utakua mmoja wao
Ah kumbe .Yaani daah,naona tu mapicha huko fb kwenye page yao,watu na matabasamu tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Inamaana wanachuja hadi wafike 5 au?Ah kumbe .
Wametoa 13 Bora
Wanachosha hawa eti burudani sema leo nililala mchana
Yeah ndo inavyoonekana