Nations
JF-Expert Member
- May 4, 2022
- 4,892
- 16,997
Usiku ukisumbuliwa fresh eeh 😀😀Yanakata usingz balaa, ndio maana me mchana nafanya hvyo sababu usingiz ukishakata had uje tena aah sio leo
Usiku ukisumbuliwa fresh eeh 😀😀Yanakata usingz balaa, ndio maana me mchana nafanya hvyo sababu usingiz ukishakata had uje tena aah sio leo
Na bado unakuta hajaoa?
Usiku haina noma ila sio mchana😂Usiku ukisumbuliwa fresh eeh 😀😀
Shule inaenda had muda gan😀😀😀 haya acha na mie nikae shule sasa
😅😅😅 Unapenda vya usiku au basiUsiku haina noma ila sio mchana😂
Eeh au basiiii🤣🤣😅😅😅 Unapenda vya usiku au basi
hadi saa 11 alafajiri hiyo ndio nauchapa usingizi, ikifikaga paka saa saba sijalala basi hapo kuupata usingizi ni vita ya tatu ya dunia 😅😅Shule inaenda had muda gan
😅😅😅 itakuwa hivyo auEeh au basiiii🤣🤣
Na muda umeenda kweli, usingz unakua ushapotea😂hadi saa 11 alafajiri hiyo ndio nauchapa usingizi, ikifikaga paka saa saba sijalala basi hapo kuupata usingizi ni vita ya tatu ya dunia 😅😅
Basi laleni salama.. Mpe hi big boy muambie asiwe na wasi wasi wa trip yetu ya mwanzaNa muda umeenda kweli, usingz unakua ushapotea😂
Ila me najua nitaupata soon😛
We ingia shule
Nampa taarifa mapemaa ili nimuandae kisaikolojia😃Basi laleni salama.. Mpe hi big boy muambie asiwe na wasi wasi wa trip yetu ya mwanza
Huyo akifikisha 60 mgongo na kiuno lazima vipinde.
😀😀😀 kawimbo ka Diamond eeh.. Ukilala lala salamaa, kumbatia picha ya Big boy ... sijui nini niii na niiNampa taarifa mapemaa ili nimuandae kisaikolojia😃
Nawe ukilala ulale salama
Kwa ninavyoona bado umetepetaa boss karibu mtego wa simba uiveePole ya Nini Tena? Nafanya mazoezi ndio maana nna huo mwili nnaoupenda.
🎵kama ukinikumbuka sana😀😀😀 kawimbo ka Diamond eeh.. Ukilala lala salamaa, kumbatia picha ya Big boy ... sijui nini niii na nii
Nakasikiliza hapa 😍😍😍🎵kama ukinikumbuka sana
kumbatia picha yangu
kawimbo kazuri, nakapendaaa😊
😀😀😀 Sauti ya kuimba inatoka wapii .. mtu sauti kama robotiOoh enjoyyy
FIB angekua hajalala, ungeenda kumuimbia😍
Mbele ni mbele tu sie bado tuna ujima mwingi sanaa 😅😅😅View attachment 2232408
Tz wangenikamata..