Lenie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 17,221
- 50,181
Kuna sehemu Chuga vipo kama hivyo😍😍Pengine hukuu juu kabisaaa kwenye hivi vi cottages 😍😍😍View attachment 2232359
Tutafikia hapo
Kuna sehemu Chuga vipo kama hivyo😍😍Pengine hukuu juu kabisaaa kwenye hivi vi cottages 😍😍😍View attachment 2232359
🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂😂🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭!!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Kuna mtu aliwahi nambia nikiwa na mjeda, bas kila siku naamkia wodini. Uwiiiiiiih
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shangazi wee furahi, nipo humu kwa ajiri ya kuwafurahisha. Enjoyyy[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ila coca naona majirani wanaishangaa navocheka humu ndani pekeangu km chizi[emoji23]
Naona ukungu umetanda kama wote.Baridi plus ukungu tuu 😀😀 si ndio raha
Ipo siku nitajipost full na poz kma lako inabidi nikavunje viti vya ps[emoji23]Weeew [emoji23][emoji23]sio mm jmn
Somo nililibeba kama lilivyo🤣🤣🤣😺😺😺 Kikubwa mwili hautakiwi kuzidi mzunguko wa mikono 😀😀😀😀... imeeleweka kabisa kabisa
Looh nilijaribu kuchungulia huku kwetu nikakuta hollaaaaHeaven Sent naona wanaonyesha startimes kupitia ST .bongo pekee
Nipo naangalia hapa ..
Mwaka huu gari ni Mercedes Benz wamejipanga aisee
Hapa pazuri .. yaani huwa napapenda sanaaa.. chuga kuna mahala hivi nitakupa ka code pata tufaaa kwa hizi siku mbili 😀😀Kuna sehemu Chuga vipo kama hivyo😍😍
Tutafikia hapo
😀😀😀😀 Safi kabisa mwanafunzi mwelevuSomo nililibeba kama lilivyo🤣🤣🤣
Ooh poleLooh nilijaribu kuchungulia huku kwetu nikakuta hollaaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3] cha ajabu sasa Mungu kwanza akani face na mjeda, nkamjibu, hapana maisha yangu bado nayahitaji hatutawezana, uvumilivu utakushinda tyuuh sasa kunipa ulemavu nehiiiiii.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2960][emoji2960][emoji2960][emoji2960][emoji2960][emoji2960][emoji2960][emoji2960]!!!
Shos sitaki mie kha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]!!
Nipee code nipacheki mapemaa😋Hapa pazuri .. yaani huwa napapenda sanaaa.. chuga kuna mahala hivi nitakupa ka code pata tufaaa kwa hizi siku mbili 😀😀View attachment 2232361
Kama nakuona mama shughuli.Jaman kuna rafiki angu wa utotoni anaolewa, sasa nimealikwa,
Japo huwa sipendelei kuhudhuria harusi, ila hii lazima niwepo na nimepania kufunika kwa mavazi na muonekano.
Naomba mnichagulie rangi ambayo nikivaa na kwa mshono husika nitawaka hatareee. Na mshono wenyewe ni huu kwa picha. Yaan nataka nitoke km hivyo had hiyo kofia hapo,
Mnichagulie rangi, hii nyeupe sijaitaka. Nataka ingine mie. Haya naombeni msaada wenu.
Serious yaan..
View attachment 2232302
coca 🙌🙌🙌🙌🙌🚶🏽♀️🚶🏽♀️🚶🏽♀️🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3] cha ajabu sasa Mungu kwanza akani face na mjeda, nkamjibu, hapana maisha yangu bado nayahitaji hatutawezana, uvumilivu utakushinda tyuuh sasa kunipa ulemavu nehiiiiii.
Nawaogopa hao, weeeeh
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shangazi mie sitakiiiiiIpo siku nitajipost full na poz kma lako inabidi nikavunje viti vya ps[emoji23]
😀😀😀😀 hivi karibuni walibadirisha design mala ya mwisho nilienda bila simu wala camera ila pazuri sana wameboresha ila awali palikuwa hiviNaona ukungu umetanda kama wote.
Raha hapo kujifunika blanket + coffee + movie aaah 😊😊
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3]coca [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji2216][emoji2216][emoji2216][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]!!
Hahaaa leo hutoi somo lingine?😀😀😀😀 Safi kabisa mwanafunzi mwelevu
😀😀😀😀 Pazuri wacha nikupenyezee kimya kimya sio hapa public nitachana mkekaaaNipee code nipacheki mapemaa😋
Nataka rangi 1 tyuuh, nitatambulishwa km designer. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kama nakuona mama shughuli.
Hapa lazima uende na color inayo-pop up. Rangi iliyochangamka haswaa, Utulivu hapana