cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 112,102
- 181,132
Jaman kuna rafiki angu wa utotoni anaolewa, sasa nimealikwa,
Japo huwa sipendelei kuhudhuria harusi, ila hii lazima niwepo na nimepania kufunika kwa mavazi na muonekano.
Naomba mnichagulie rangi ambayo nikivaa na kwa mshono husika nitawaka hatareee. Na mshono wenyewe ni huu kwa picha. Yaan nataka nitoke km hivyo had hiyo kofia hapo,
Mnichagulie rangi, hii nyeupe sijaitaka. Nataka ingine mie. Haya naombeni msaada wenu.
Serious yaan..