Ewaaaaaaaaaaaaaaaah!!!!Hii hapa mm naonaga iko poa au sijui machoyanguView attachment 2232321
Sijawah iskia hiiWenzenu wanadownload startimes on
Halafu wanalipwa buku..wanaangalia.
Ninepunguza tayari nimeacha ushari na ugomvi toka asahivi ðŸ¤ðŸ¤We mgomvi sana😬
Hatukua wote kweli? wapi hii teacherView attachment 2232324
kabisa hata graduu chuo ndani nilitupia kigauni cha rangi hio afu huwa inanipendeza mno mnoo!!
Lavender puple,Mimi pia nilikuwa naifikiria hii ni nzuri sanaa inaitwa Lavender purple
Eeeendiwooooooo nahayo mapozi yako sasa utanougaaa!!Ewaaaaaaaaaaaaaaaah!!!!
Hapa penyeweeee sasa, ahsanteeeee shangazi
Nshapata rangi, ntakuja kutoa picha hiyo siku nikiwa nimewaka.
Usijali ntaziweka paka utazokimbia mwenyeweYako hujarudia
Sichanganyi rangi, inakua enyewe tyuuh full.Chaguo zuri cream huwa inanoga mno
Full cream au unachanganya na rangi ingine kwa mbali ?
Hii utapendeza SanaLavender puple,
Oukay.
Sana, si tutapitia na Moshi eeh. Kuna sehem za utalii nzuri kuleTuta enjoy 😊😊
Kama hiyo ya Sophy hapo juuIko wapi nami niangalie 🙄😜
Tunakusubiri kwa hamuEwaaaaaaaaaaaaaaaah!!!!
Hapa penyeweeee sasa, ahsanteeeee shangazi
Nshapata rangi, ntakuja kutoa picha hiyo siku nikiwa nimewaka.
Pc ilizima kitambo, kumbe haikua na charge ya kutosha😅😅Ni kwamba umeturn off notifications za wasap au 😂😂😂😂
Umeme haujarudi na PC imezima?
Kwa mimi mhenga najua tatizo ujana unakusumbua ukifika umri wa 40 utapunguza😬Ninepunguza tayari nimeacha ushari na ugomvi toka asahivi ðŸ¤ðŸ¤
Ahaaa hio mimeiona its ma favourite colour!!Kama hiyo ya Sophy hapo juu
Kesho naenda madukan kuchukua kitambaa. Uzuri Fundi aliyoshona hiyo nguo ya Wema ndo atanishonea na mie, lazima niwake.Tunakusubiri kwa hamu




