Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 25,207
- 40,645
Siyo umeficha ugali mkubwa zaidi kwenye hotpot kweli ila hapo umetuzuga na kangumi ka mtoto
Siyo umeficha ugali mkubwa zaidi kwenye hotpot kweli ila hapo umetuzuga na kangumi ka mtoto
Mpendwa....View attachment 2232325
Hivi ni mimi pekee ninayetumia kifurushi cha week kwa siku au na nyinyi wenzangu niko kitandani nawaza![]()





Ni nzuri kwa kweliAhaaa hio mimeiona its ma favourite colour!!
Moshi siku mbili na Arusha mbili safii kabisa eeh 😍😍😍Sana, si tutapitia na Moshi eeh. Kuna sehem za utalii nzuri kule
Ooh hapo utanogaSichanganyi rangi, inakua enyewe tyuuh full.
Ndio mpendwa yaani mb zinawahi kuisha😬😬😬Mpendwa....
Uko kitandani...
Unawaza...
Kifurushi cha wiki.....
MnooooHii utapendeza Sana
Hakna, yaan natoka km hapo kwa picha.Ooh hapo utanoga
Hamna glitters wala nn ?




😕😕😕 alafu nimebakiza kiduchu nimebakiza mi nne kugusa hapo ... kadri siku na miaka inazidi kwenda nazidi kuwa mtoto hujui 😀😀😀🥹🥹Kwa mimi mhenga najua tatizo ujana unakusumbua ukifika umri wa 40 utapunguza😬
Inategemea na matumizi yako.View attachment 2232325
Hivi ni mimi pekee ninayetumia kifurushi cha week kwa siku au na nyinyi wenzangu niko kitandani nawaza![]()
Haya ututupie pichaHakna, yaan natoka km hapo kwa picha.![]()
Tusijikute tu tumevuka boda tuko Naiii😂😂😂Moshi siku mbili na Arusha mbili safii kabisa eeh 😍😍😍
Ooh hongera
Yaan hapo ni full kuwakaaa,Haya ututupie picha
Maana fundi tayari yupo vizuri




Sina matumizi mengi mkuu ni Jf na watsap video ni mara chache sana kuna best yangu amenambia eti aina ya simu yangu 🤷🏼♀️
Usisahau kufanya review hapa na kuweka booking mapemaaa lazima tupitie hukuTusijikute tu tumevuka boda tuko Naiii😂😂😂
Kaa hapohapo nikuletee picha za iyorangi ujiridhisheMnoooo
We una 26 labla😬😕😕😕 alafu nimebakiza kiduchu nimebakiza mi nne kugusa hapo ... kadri siku na miaka inazidi kwenda nazidi kuwa mtoto hujui 😀😀😀🥹🥹