Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
Ooh kumbeYaan i wish kweli ila hiyo ya pili ni kucroch naskia ukisuka zinauma kweli
hiyo nywele ya crotchet inaitwaje ?
Crotchet inategemea na msusi anavyoweka sindano ile na kutoa ila baada ya hapo maumivu ni kama hamna .
Anza na hii ya crotchet hakika utapendeza mno




no!


