TANZIA Seleman Said Bungara (Bwege) afariki dunia

TANZIA Seleman Said Bungara (Bwege) afariki dunia

Mnhamba jr

Senior Member
Joined
Mar 10, 2023
Posts
175
Reaction score
491
Aliewahi kuwa mbunge wa bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania jimbo la kilwa kupitia CUF ndugu seleman said bungala amefariki dunia leo akiwa hospital ambako alikuwa akipatiwa matibabu.

18 November 1961 - 30 Machi 2026

Selemani Saidi Ally Bungara (BWEGE) aliyekuwa Mbunge wa Kilwa Kusini mapema leo akiwasili Mahaka.jpg
Pia soma

Pole sana kwa ndugu, jamaa na familia kwa Ujumla

Mzee Bwege alikuwa Baba kwa watoto wake, alikuwa mume kwa mke wake. Hawa watakuwa na huzuni kubwa kumpoteza mpendwa wao

Poleni wana Kilwa kumpoteza aliyekuwa mwakilishi wenu

Duniani sote tunapita

Leo zamu yake, kesho itakuwa zamu yako/yangu 😭😭😭

M/Mungu ampunguzie adhabu ya kaburi
 
Aliewahi kuwa mbunge wa bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania jimbo la kilwa kupitia CUF ndugu seleman said bungala amefariki dunia leo akiwa hospital ambako alikuwa akipatiwa matibabu.
View attachment 3564530
Mwamba ameutumia muda wake vyema kabisa aliokaa duniani.

R.I P Mh Bwege juzi Tu ametoka Mahakamani kushiriki Kesi inayomkabiri Mwenyekiti wa Chadema My Tundu Antiphas Lissu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom