mwita burure
Senior Member
- Jul 8, 2016
- 192
- 39
Ukweli kabisa kk but hata mimi leo nimejaribu kufungua profile imefunguka lakini nimekuta system is currently closed now wait for selection tofauti kabisa na mwanzo lilivyokuwagaWakuu Sote Tumo Ndani Ya One Boat, Kwahiyo Musigombane Kwa Jambo Ambalo Lipo Nje Ya Uwezo Wenu!
Kwani Sote Hatujui!! "Henda Tatizo Likawa la NACTE, au Likawa La Walio Juu Ya NACTE! kwani Kulingana Na Visa Vya Nchi Hii, Wapo Walio na POWER kuliko Hata Hao NACTE"