mwita burure
Senior Member
- Jul 8, 2016
- 192
- 39
It wa nacte wapo mafunzo China subiri kwanza warudiDaaaah
It wa nacte wapo mafunzo China subiri kwanza warudiDaaaah
Wamepokea sim? Kama wamepokea wanasemaje kuhusu post?Binafs nmejarib kuwasiliana nao juz
WamesemajeBinafs nmejarib kuwasiliana nao juz
Hahaha tunasema kituambacho kipo wahusika wenyewe mashahidmtumbuaji kaweka vibration anawaNYATIA MDO MDO
Mtazoea tuDhaa hii Sasa to much
Mtafute Tundu LissuNaomba Msaada wa Mawasiliano ya Ikungi Sekondari, au mwenye Joining instruction ya Ikungi sekondari form five 2016
hata za kwangu walizila wakati namshughulikia mwanangu!KILA KITU SIASA HII NCHI IKO VIPI NACTE MPAKA SASA HIVI KIMYA NA WALISHAKULA ELFU 30000 ZETU MIMI NARUDI VILLAGE MWABASEBU KULIMA PILIPILI WAKITOA MTANISITUA HATA KWA SANDUKU LA POSTA ,S.L.P 0000.567 MWABASEBU,CHATO.
IT wa nacte wapo mafunzo China subiri kwanza warudiTusiwalahummu bure wakati mwingine labda haya mambo ya dijitali labda yamewalogea, esi unajua tena wataalamu wa IT wa tz afadhali wa Rwanda.