Selection za NACTE 2016 zitatoka lini?

Selection za NACTE 2016 zitatoka lini?

Mkuu nina GPA kubwa Sana aisee. Yaani hadi wamefikia kushusha GPA wasingeweza kunifanyia hivyo. Kuna muda walibadili wakaniambia wait for selection. Nadhani tayari nimeshachaguliwa first option sema bado wananitia mapresha tuu.
Ok wait for second selection which is expected to realease soon
 
Kila nikiingia profile nakuta hv hv sijui tumesahaulika wengine maana hata hawachagui
 

Attachments

  • 1474262233386.png
    1474262233386.png
    33.1 KB · Views: 87
angalieni kwenye vyuo mlivyoapply majina yatakuwepo, msitarajie NACTE wawataarifu, taarifa za selection za awamu hii zinatoka kwa style ya ushuzi wa Yusuuufffff
 
Back
Top Bottom