Selection za NACTE 2016 zitatoka lini?

Selection za NACTE 2016 zitatoka lini?

mpka matokeo ya a level yatoke wafanye tena usajili,so matokeo kutoka mpka mwezi 9 na masomo yanaanza mwezi 10.
halafu acheni kulalamika kama watoto wa kike,hivi vitu vinaenda kwa mipango sio kama mnavyotaka nyie
Sio hivyo kinacho wapa watu pressure ni kwamba wao wenyewe walipromise mchakato unachukua wiki Tatu mbaka, nne rejea tangazo La tr 09/05/2016 wasinge promise watu wangekaa kimya mbaka siku ambayo wangetoa inapaswa waambie umma tatizo ni nini ili wakae kwa Amani
 
nawashauri muwe na plan B.kwenye maisha itawasaidia sana sio kuvaa miwan ya mbao usoni
 
http://www.nacte.go.tz/en/update.php?id=1465487066&slug=TAARIFA-KWA-UMMA-KUHUSU-KUFUNGWA-KWA-MUDA-WA-KUPOKEA-MAOMBI-YA-UDAHILI-WA-KOZI-ZA-CHETI,--DIPLOMA,-DIPLOMA-YA-JUU-NA-SHAHADA-YA-KWANZA-KUPITIA-MFUMO-WA-UDAHILI-WA-PAMOJA-(CAS)-UNAORATIBIWA-NA--BARAZA-LA-TAIFA-LA-ELIMU-YA-UFUNDI-(NACTE)
Bila shaka watu wanalalamika kwa sababu ya taarifa hiyo hapo juu so wewe utayeleta hoja ya kumpinga mtoa mada kwamba anakulupuka then unaitetea nacte bado tutakupinga vilevile kwa sababu tutakuona kama huna prove yoyote kama wenyewe wahusika wangekuwa na tatizo basi wangesema sio wanafanya kinyume na kauli zao maana mpaka sasa kina mchoendelea ni kinyume na ahadi yao alafu bado wapo kimya
 
Hivi nyie hamjiulizi tu kwa nin ajira zimesimama waliochaguliwa jkt wamerud mpaka waitwe tena na bado mnaulizia Nacte cha msingi tafuta tiba mbadala hata hao Nacte wakitoa bado tu unachangamoto kubwa mbeleni kazi sasa ni ngumu si kwa alie soma wala asiesoma zinduka kk awamu hii si yakutegemea serikal
 
mpka matokeo ya a level yatoke wafanye tena usajili,so matokeo kutoka mpka mwezi 9 na masomo yanaanza mwezi 10.
halafu acheni kulalamika kama watoto wa kike,hivi vitu vinaenda kwa mipango sio kama mnavyotaka nyie
Kama hujui kitu kaa kimya....
Wao wenyewe ndo walitoa tangazo selectiom zitafanyikwa wiki 4 baada ya system kufungwa halafu itafunguliwa upya ndo maana watu wanalalamika maana wameenda kinyume na tangazo lao wao wenyew
Username yako inaendana na ulichoandika by the way
 
Ndo umeandika nin hapa?
 
tulia wewe ueleweshwe,ata sisi mwaka jana mwezi 4 tulifanya application nacte, wakasema matokeo yatatoka mwezi wa 5' lakini mwezi 5 ulipofika hawakutoa.
tulivumilia kiume tu wakaja kutoa mwezi 10,mwezi 11 tukaenda chuoni kwahiyo acheni kulalamika kama vitoto tudogo,mwanaume alalamiki bali anamezea tu.
 
Sio hivyo kinacho wapa watu pressure ni kwamba wao wenyewe walipromise mchakato unachukua wiki Tatu mbaka, nne rejea tangazo La tr 09/05/2016 wasinge promise watu wangekaa kimya mbaka siku ambayo wangetoa inapaswa waambie umma tatizo ni nini ili wakae kwa Amani
hata mwaka jana walipromise kama hivyo hivyo lakini selection wakaja kutoa mwezi 10
kwahiyo kuweni wavumilivu sio kulia-lia tu.
ustadhijuma njoo uwaeleweshe hawa BRN watoto wa MWENDO KASI
 
Sio hivyo kinacho wapa watu pressure ni kwamba wao wenyewe walipromise mchakato unachukua wiki Tatu mbaka, nne rejea tangazo La tr 09/05/2016 wasinge promise watu wangekaa kimya mbaka siku ambayo wangetoa inapaswa waambie umma tatizo ni nini ili wakae kwa Amani
hata mwaka jana walipromise kama hivyo hivyo lakini selection wakaja kutoa mwezi 10
kwahiyo kuweni wavumilivu sio kulia-lia tu.
ustadhijuma njoo uwaeleweshe hawa BRN watoto wa MWENDO KASI
 
mpka matokeo ya a level yatoke wafanye tena usajili,so matokeo kutoka mpka mwezi 9 na masomo yanaanza mwezi 10.
halafu acheni kulalamika kama watoto wa kike,hivi vitu vinaenda kwa mipango sio kama mnavyotaka nyie
sasa hayo matusi
Kama walitaka kuyatoa kwa mda wao wasinge weka mda maalum
 
Wakuu Sote Tumo Ndani Ya One Boat, Kwahiyo Musigombane Kwa Jambo Ambalo Lipo Nje Ya Uwezo Wenu!
Kwani Sote Hatujui!! "Henda Tatizo Likawa la NACTE, au Likawa La Walio Juu Ya NACTE! kwani Kulingana Na Visa Vya Nchi Hii, Wapo Walio na POWER kuliko Hata Hao NACTE"
 
NACTE asanten sana najua nanyie sio nyinyi bali uongoz uliowaweka hapo kusimamia hyo taasisi
 
Back
Top Bottom