Nenda Google kisha andika aina ya kitabu utakacho lakini mwishoni unaandika pdf.Mnaweza nisaidia jinsi ya ku download vitabu vya masomo mbali mbali kweny cm ..vya o level na advance
Ingia play store utavikutaMnaweza nisaidia jinsi ya ku download vitabu vya masomo mbali mbali kweny cm ..vya o level na advance
Serikali haitupani Hilo swala litakaa tuuu powJamani NACTE wamechelewesha matokeo sababu bado wanajadiliana na TCU kuhusu hatma ya watu walioomba degree kwa kigezo cha diploma kumbukeni kwamba wakati watu wanaomba degree kupitia Nacte kigezo kilikua diploma GPA kuanzia 2.7 na kuendelea lakini kwa sasa TCU wanataka GPA kuanzia 3.5 tena kuanzia mwaka huu sasa swali ni kwamba je wale walioomba degree kupitia Nacte wenye diploma GPA kuanzia 2.7 hadi 3.4 watarudishiwa pesa ? au watachaguliwa kwasababu waliomba kabla ya muongozo wa TCU haujatoka ? haya ndio maswali yaliopo mezani yanajadiliwa.
Hpn tcu inajtegemea mbnkumbukeni kwa mujibu wa tangazo la tcu applicaton zote za degree lazima zipite tcu,so isije ikawa mlio omba mapema mkawa mliwaaaaaaaaa😵😵