Selection za NACTE 2016 zitatoka lini?

Selection za NACTE 2016 zitatoka lini?

Wakuu Sote Tumo Ndani Ya One Boat, Kwahiyo Musigombane Kwa Jambo Ambalo Lipo Nje Ya Uwezo Wenu!
Kwani Sote Hatujui!! "Henda Tatizo Likawa la NACTE, au Likawa La Walio Juu Ya NACTE! kwani Kulingana Na Visa Vya Nchi Hii, Wapo Walio na POWER kuliko Hata Hao NACTE"
Ukweli kabisa kk but hata mimi leo nimejaribu kufungua profile imefunguka lakini nimekuta system is currently closed now wait for selection tofauti kabisa na mwanzo lilivyokuwaga
 
Mimi ni mtu mkubwa sana hapo NACTE naomba uniheshimu tafadhari.
N vema busara itumike ukihisi kinacho ulizwa unakijua ila jibu sio sahihi it means huna uhakika kaa kimya kuliko kuropoka kitu ambacho hakipo..... Thanks
 
N vema busara itumike ukihisi kinacho ulizwa unakijua ila jibu sio sahihi it means huna uhakika kaa kimya kuliko kuropoka kitu ambacho hakipo..... Thanks
Acha ubishi tafadhari.... Tena ukizidisha ubishi nitakata jina lako lisionekane hiyo kesho jioni.
 
Nacte 2016 vip ..selection za diploma na certificate lini mtazitoa hewan
 
Nimengoja hadi nimechoka sasa hawa jamaa yani au wanasubiri maelekezo toka ngazi za juu maana.!!! Nacte toeni watu tujipange
 
Back
Top Bottom