Selection za NACTE 2016 zitatoka lini?

tusiwe na wasiwasi ndugu hii nkwasababu ya huu usawa wasasahv kila kitu kinatakiwa kiwekwe kwa umakin ndio maana wanachelewa ila muda utafika wataweka ubaoni tuuu
ujue kiongozi tatiz sio kusubil tatuz hawatki kutuambi nn kinaendelea kam wamesogza mda au laaah!!
 
Ndugu wana jf hivi hili tatizo La profile binafsi kutofunguka baada ya nacte kufunga application ni kila mwaka au ni huu mwaka tu msaada please
kwa sisi wenye uzoefu na application hili tatizo ni mwaka huu tu.maana miaka ya nyuma profile zilikuwa zinafunguka hadi wanatoa selection.
 
Nafungua naona hapaeleweki.... Najiuliza labda sim yangu mbovu...
 
Ivi wale walofanya application nacte vipi kunafunguka naona time inazidi songa
NACTE wanatesa wazazi, sasa wazazi watapata wapi muda wa kuandaa mahitaji, ada ya watoto etc. Tunapata picha gani, mlizoea kulipua sasa mmebanwa hamna pa kuanzia, you have to devise a new system altogether to be able to process the application without favor or fear! NACTE hamfai, hamfai, hamfai!
 
Subiri sikukuu iishe
 
wababaishaji kuliko kawaida yani mavyuo feki tele mtaan watu wanatoa mitaala bila kusajili watu wapo tu wameka offini wakisha vipa vyuo usajili wala hawavifuatilii tena
 
Zitatoka mkuu so far bado vyuo havijaanza kufunguliwa vuta subira kidogo. Najua Una hamu ya kwenda chuo baada ya wenzako kuchaguliwa kwenda Form 5 & 6
Jaman nauliza mbna nacte hawatoi majina wakati wiki nne zimepita,au kuna post yoyote wametoa kuexplain hilo
 
Back
Top Bottom