Andrea Chisimba
Member
- Jul 7, 2016
- 6
- 0
OK,, asante Stephano,,kwa sababu nilishalipia NACTE toka mwezi wa NNE bado vyuo vilikuwa havifunguki,,sasa kuna habari nimezipata eti NACTE hawahusiki na vyo vikuu tena nikashtuka sana
acha ukuda mwananguMajina yanakuja hivi punde fungueni profile zenu
Braking news nacte selected candidate 2016 /2017 mbaka mwishoni mwa mwezi huuJamaa wameshtushwa na mkanganyiko katika teuzi za Ma DC,DAS na DED hivyo wameamua kuwa makini sana ili isitokee mwanafunzi mmoja akapangwa vyuo viwili, tatu,nne tofauti hivyo tuvute subira kidogo waungwana muda si mrefu nadhani wataruka hwani.
Kupitia anuani ipi ndugu ,maana ile NOAS haitaki kabisa funguka ila nyingine zinafunguka.Majina yanakuja hivi punde fungueni profile zenu
Unamsikiliza mpuuzi huyo, bado just be patient!Kupitia anuani ipi ndugu ,maana ile NOAS haitaki kabisa funguka ila nyingine zinafunguka.
Sasa sijui wakiwa wanachakata maombi ndio wanafunga mpaka profile access za watu....!!??
Source umepata wap?Braking news nacte selected candidate 2016 /2017 mbaka mwishoni mwa mwezi huu
Nonsense. Inabidi ushitakiwe kwa kutoa taarifa za uongo- sheria ya mtandao, naona unaanza kuzoeaBraking news nacte selected candidate 2016 /2017 mbaka mwishoni mwa mwezi huu
Haka kachuo nilisomaga kana ubabaishaji usipojaziwa marks za unit ulizosoma utajikuta unarudia huo mtihani labda kama siku hizi wamebadilikaUbabaishaji mwingi sana nimeamua kuomba open university.