Selection za NACTE 2016 zitatoka lini?

Selection za NACTE 2016 zitatoka lini?

Hakuna system ya nacte imefungwa mpaka itakapofunguliwa ndo wataendelea na applicatioon ..sorry
 
Nacte mwatuumiza kiakili .kama kuna tatizo toen updates tujue kilichopo na kijachoo....yoyote mwenye tetes wakuu tujuzane
 
Hivi tunaomaliza mwezi wa saba diploma inakuwaje kuhusu kujiunga degree mwaka huu?
 
Nilisoma diploma ya ualimu na nataka kusoma degree ya elimu naweza kuomba kupitia NACTE? Naomba nieleweshwe wadao,,,,
 
Kizungu mkuti mambo yameingiliana nacte hawaelleweki itakuwa plan B zao zimebounce
 
Back
Top Bottom