Mwanzo ni Mwisho
JF-Expert Member
- Mar 9, 2016
- 4,394
- 10,836
acha kumtisha mwenzio kozi za afya zina ugumu gan wewWewe utaweza kozi za afya maana una mawenge sana
acha kumtisha mwenzio kozi za afya zina ugumu gan wewWewe utaweza kozi za afya maana una mawenge sana
Hujaenda form five?mi ninavyoona hawa nacte nao ni jipu tena lililoiva , lingekuwa sio jipu wangeeleza umma wa watanzania nn kinaendelea!!
Mkuu Leo tar 5/7 na ngoma bado mbichi,Surely results morrow but naogopa kukuambia aliyeniambia coz nitakuwa answerable
Pole sana, vumilia pengine wiki hii mambo yatakaa sawaJamani hivi Nacte wanatutolea lini 🙁Selection maana mpaka sahizi kimya
Jombaa subiri mbona unapresha hivyo.Ndg zangu wote tunakumbuka kwamba tarehe 9/6/2016 nacte walitoa tangazo lililokuwa linasema Kuwa selection zingetoka ndani ya wiki nne tu,yaani kuanzia terehe 3/6/2016.Ukipiga mahesabu kuanzia hiyo tarehe wiki nne zinaisha leo tarehe 3/7/2016, Cha kushangaza zaidi kwenye updates zao hakuna tangazo lolote linalosema labda tuwape muda.Je huu ni uungwana wanaotendewa hawa watoto wa maskini?,Karibu tuchangie,matusi mwiko hapa.
Kwanini una lialia? Kwani umeshindwa kuandika bila kutafuta huruma?Ndg zangu wote tunakumbuka kwamba tarehe 9/6/2016 nacte walitoa tangazo lililokuwa linasema Kuwa selection zingetoka ndani ya wiki nne tu,yaani kuanzia terehe 3/6/2016.Ukipiga mahesabu kuanzia hiyo tarehe wiki nne zinaisha leo tarehe 3/7/2016, Cha kushangaza zaidi kwenye updates zao hakuna tangazo lolote linalosema labda tuwape muda.Je huu ni uungwana wanaotendewa hawa watoto wa maskini?,Karibu tuchangie,matusi mwiko hapa.