Tunawasubiria nacte tu nduguwakuu mbona kimya
Yan wapo kimya mbayaila hawa nacte mchakato hadi lini mda sio lafiki
Majangaa.,Itakuwa ni baada ya siku kuu uwiii
Ndg zangu wote tunakumbuka kwamba tarehe 9/6/2016 nacte walitoa tangazo lililokuwa linasema Kuwa selection zingetoka ndani ya wiki nne tu,yaani kuanzia terehe 3/6/2016.Ukipiga mahesabu kuanzia hiyo tarehe wiki nne zinaisha leo tarehe 3/7/2016, Cha kushangaza zaidi kwenye updates zao hakuna tangazo lolote linalosema labda tuwape muda.Je huu ni uungwana wanaotendewa hawa watoto wa maskini?,Karibu tuchangie,matusi mwiko hapa.
mi ninavyoona hawa nacte nao ni jipu tena lililoiva , lingekuwa sio jipu wangeeleza umma wa watanzania nn kinaendelea!!Ndg zangu wote tunakumbuka kwamba tarehe 9/6/2016 nacte walitoa tangazo lililokuwa linasema Kuwa selection zingetoka ndani ya wiki nne tu,yaani kuanzia terehe 3/6/2016.Ukipiga mahesabu kuanzia hiyo tarehe wiki nne zinaisha leo tarehe 3/7/2016, Cha kushangaza zaidi kwenye updates zao hakuna tangazo lolote linalosema labda tuwape muda.Je huu ni uungwana wanaotendewa hawa watoto wa maskini?,Karibu tuchangie,matusi mwiko hapa.
acha kudangaya wAtu bwana, mwak jana walienda vyuoni mwez 5 tena hao ilikuwa no second selection.
yaa inachangia maana hata mimi ni miongoni mwa walikosa kuchaguliwa kwa sababu hyo mwakajanaNa mimi bro nina swal kama lako kana rfk angu ana tatizo kama hilo tunaomba mtaalamu atujibu
Jamani vichwa vinaumaa matumboo ya kuhara nomaaa, tunawasubiri NACTE kozi za Afya jamani chonde chonde tuleteeni majina tujue tufanye nini. Kama ni ada tuandae mapemaa kama ni kuendelea na kazi zetu za kuuza chipsi tuendelee kwasababu wengine ada tunajitafutia wenyewe.
Jamani mwenye tetesi zozote kuhusu lini NACTE wanatoa majina ya tulioapply kozi za Afya naomba atujulishe maana leo ni July 4. Kulikoni NACTE?