Sehemu ya maji iliyoingia nchi kavu Dar, pale unavuka na feri au daraja la Kigamboni inaitwaje kwa Kiswahili?

Eti wandugu sehemu kama ile kwa kiswahili inaitwaje?

View attachment 1890434
Peninsula kwa kiswahilil inaitwa RASI. Bay na Gulf ni Ghuba.

Rasi/peninsula ni sehemu ya nchi iililyozungukwa na maji katika pande zake tatu (Nchi kavu prolonged katika maji).

Ghuba/Bay ni sehemu ya maji iliyoingia katika nchi kavu kwa sehemu while Ghuba/Gulf ni sehemu kubwa ya maji iliyoingia sana kwenye eneo la nchi kavu. Lakini zote zinatiwa Ghuba kwa kiswahili.

Red Giant
 
Japo penisula ni ile nchi kavu. Mi nazungumzia ile ya maji iliyoingia ndani hadi bandarini na kuendelea.
Ghuba kinyume chake rasi


Eneo la bahari lilililoingia nchi kavu huitwa rasi

Eneo la ardhi lililoingia baharini huitwa ghuba

Eneo la ardhi lililozingukwa na maji pande zote huitwa kisiwa

Eneo la bahari lililo zungukwa na maji pande tatu au 75% huitwa peninsula

Eneo kubwa la ardhi lililozingukwa na maji pande zote huitwa bara

Eneo kubwa la maji lililozingukwa na ardhi huitwa bahari

USSR
 
Back
Top Bottom