The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,110
- 115,884
Nafikiri hatuelewani. Ni hivi swali lilikuwa Ile sehemu ya maji pale bandarini inaitwaje? Jibu ni Ghuba.
Kuhusu Kigamboni,Vijibweni ni RAS,pensula au kisiwa wewe ndio unasema.
Ghuba ni Ile sehemu ya maji ilioingia pale bandarini hadi kurasini,huu ndio uelewa wangu.
Peninsula ni kingereza .. Kiswahili chake Rasi..
Kwahiyo huwezi sema ghuba kama kwa English sio gulf..
Ghuba ni Gulf..je umewahi sikia watu wakisema kurasini Gulf?..sidhani..
Hapa watu wanachanganya lugha kwanza halafu na majina husika....
Gulf ni ghuba
Peninsula ni rasi..
Bay sijui Kiswahili chake..
Msasani Peninsula
Kigambon peninsula
Zote hizo rasi...
Sijaona gulf hapo so far