jitukubwalao
Senior Member
- Mar 29, 2011
- 194
- 161
Inawezekana naye anaipenda jamiiforum sema majukumi ya kazi tu ndio maana anaamua kujibu analoweza na asiloweza analiacha kumoyoni anasema shauri yaoSisi ni watu wa Mitaani (laymen). Nionanavyo mimi naishauri Serikali iondoe hii kesi Mahakamani. Mbona Shahidi anababaika mara sijui mara siyo mimi niliyoiandika hiyo barua etc.