Sehemu salama zaidi kwenye ndege...

Sehemu salama zaidi kwenye ndege...

Ndege ndio usafiri salama zaidi duniani, maelfu ya ndege yanasafiri duniani kila siku, lakini unaweza kukaa wiki hujasikia ajali yyte, tofauti na gari na train
Mkuu sijazungumzia gari..
 
Aisee juzi nimepanda ndege ikafika sehemu ikapata turbulence moja mbaya sana.

Nilihisi ndo basi tena.

Nilikuwa nimeshika juisi mkononi ikamwagika...ndani ya ndege nikasikia sauti za vilio tu.

Kwa kweli huwa sipendi kusafiri kwa ndege.
Pole mkuu ni shirika gani la ndege hilo
Sitaki kujua ukokuwa unatoka na kwenda
 
Ewaa.. hebu niwekee kinamba kwa mwaka huu mkuu kama una data.
Tuchulie Tz kwa mwaka huu watu zaidi ya 3,000 wamekufa kwa ajali na majeruhi kibao. Ajali za ndege nilizosikia ni kama tatu na vifo kama 25(12 ndege moja mwezi huu )
 
Teh
Rrondo jibu hapa hebu
Ndege zote zina korido(aisle) bana...ile njia ya katikati. Ndege kubwa zina korido mbili, ndogo korido moja.
Kwahio kuna Aisle Seat(koridoni) au Window Seat(dirishani) washamba wengi tunakimbilia hii.
 
Aisee juzi nimepanda ndege ikafika sehemu ikapata turbulence moja mbaya sana.

Nilihisi ndo basi tena.

Nilikuwa nimeshika juisi mkononi ikamwagika...ndani ya ndege nikasikia sauti za vilio tu.

Kwa kweli huwa sipendi kusafiri kwa ndege.
mkuu, pole! ilikuwa ndege ndogo or kubwa? kwa maoni yangu flight ndogo huwa si salama kabisa ukilinganisha na ndege kubwa kama Airbus, Boeing etc. huko juu angani vindege vidogo hupepesuka na mara nyingi wana-cruise low altitude.
 
Tuchulie Tz kwa mwaka huu watu zaidi ya 3,000 wamekufa kwa ajali na majeruhi kibao. Ajali za ndege nilizosikia ni kama tatu na vifo kama 25(12 ndege moja mwezi huu )
Treni je!? Imechangia vifo vingapi katika hyo 2975 iliyobaki!?
 
Hapo sawa, hizi za humu ndani kwetu ni ngumu sana.

Mfano kwa kila route 6 nazosafiri na ndege, 2 kati ya hizo ni either ndege inabadilishwa au muda unabadilika, sasa hawawezi kuruhusu ukate siti namba kabisa.

Siku hizi imekuwa kero sana hizi ratiba kiasi hata huwezi kuplan kazi zako kwa kutegemea ndege zetu hizi.
Nahili sijui TCAA hawalioni? Au wanasubilia Baba Magu aseme
 
Ndege zote zina korido(aisle) bana...ile njia ya katikati. Ndege kubwa zina korido mbili, ndogo korido moja.
Kwahio kuna Aisle Seat(koridoni) au Window Seat(dirishani) washamba wengi tunakimbilia hii.
Oooh
Asante kwa somo Mkuu
 
Sorry niongezee japo nje ya mada. Kama unasafiri kwenye basi la mkoani basi kaa upande wa dereva maana 70% ikitokea ajali basi upande wa driver unakuwa salama zaidi. wahenga wanasema "DEREVA HAANGUSHI UPANDE WAKE HATA SIKU MOJA"
siku hizi na madereva wanaangushia upande wao. it depends...
 
Mi hata sijui nitakwea lini ndege! Mana sio tu Sina nauli, bali hata huko zinakoenda hizo ndege, Sina cha kunipeleka!
Haha haha
Aki sijawahi Cheka kama leo Jirani!!! Yaani umenifanya chizi humu ndani!!!!! Daaah haya bwana
 
Back
Top Bottom