Hasa kama umepewa liftHaujichagulii pa kukaa.
Bado sijawa convinced na hili. Akili yangu imeshajijengea kwenye ndege ni rahisi zaidi kutekwa na kuamriwa kuigongesha ndegw mlimani. Nikiwazaga hayo moyo unaachia mwili kabisaUnatakiwa ukumbuke ndio usafiri salama zaidi duniani.
You are more likely to be killed in a car accident on your way to the airport than get killed in airplane crash!
They say ila mi naogopa na sina imani nao. Labda sababu mimi muoga sanaSisteri....hivi unajua kuwa usafiri wa ndege ndo usafiri salama zaidi?
Naona kama ka formula kana apply hadi kwenye ule usafiri wetu pendwa aka "mabasi", ila tu hiyo survival percent ya nyuma ndio ya kati na ya kati ndio ya nyuma, provided ajali sio ya kugonganaKila section imefanyiwa survival rate yake.
Yaani waliokaa nyuma 100, 69 wamepona.
Waliokaa mbele 100, 49 wamepona.
Waliokaa kati 100, 56 wamepona.
Manawa ndo sehemu gani tena na mie nikipata nafasi ya kuchagua siti siku moja nipachague?Yeah mimi huwa nilikuwa nachagua dirishani,eneo la manawa kwasababu ndip sehemu ngumu kwenye ndege. Leo nimepata somp jipya.
Kweli aisee.. ni salama kurest in peace kuliko kubaki kilemaNini tafsiri ya Usafiri salama zaidi ile hali ikitokea Ajali chances za kupona ni ndogo mno mno
Pamoja sana mkuuSure, kuna mdau kashanijibu, mimi nilidhani hata international ni kama hizi locals.
Thanks mkuu.
Yeah binafsi sina uzoefu sana na local flights....
Basi umenifunza. Nitaanza kuomba hapo na mimi. Halafu sikuwaza kabisa kama unamaanisha mabawa. Daaah.Ha ha ha MABAWA
Jaribu kuwa mwelewa. Huu ni utafiti umefanywa kwa watu walio-survive, sasa kama unaona inasaidia chukua, kama unaona haisaidii kwasababu ndege siku zote zinnapigwa makombora acha.Taarifa ni fupi Sana, Aina maelezo ya kutosha. Hiyo ndege ikikutana na kombora au rocket za kutungua ndege nadhani huo utafiti hautakuwa na maana yeyote.