nashukuru mkuu me sijawahi ligusa hilo dudeUkiwa una check-in aidha online au pale kwenye airline desk airport huwa unapewa,option ya available seats uchague.
Window,Aisle,Row
Kwel kabsa , m sio majin, angan wala trenAisee juzi nimepanda ndege ikafika sehemu ikapata turbulence moja mbaya sana.
Nilihisi ndo basi tena.
Nilikuwa nimeshika juisi mkononi ikamwagika...ndani ya ndege nikasikia sauti za vilio tu.
Kwa kweli huwa sipendi kusafiri kwa ndege.
[emoji3] [emoji3]Siku yako ikifika imefika tuu, lakini tahadhari ni muhimu pia!!!!
Ngoja nikariri siku nikibahatika kuipanda nikae koridoni!!!
Kuna route za Massa kama 14 hivi hewani niliwahi kuruka ila sina hamu nazo Tena Dubai-Washington na Perth-Jburg non stop duuh.Mijitu inakoroma mm niko macho (uoga),nakunywa kilevi usingizi hakuna.Ndege ni salama ila hatari sanaHilo dubwasha halizoeleki. Halafu wenyewe wanadai ni hatari likijiandaa kupaa au kutua. Likifika kule juu futi 30,000 eti mko salama zaidi!
Alafu ikishatokea hivyo usiombe rubani akaiachia kidogo ishuke chini. Unaweza kujiarishiaAisee juzi nimepanda ndege ikafika sehemu ikapata turbulence moja mbaya sana.
Nilihisi ndo basi tena.
Nilikuwa nimeshika juisi mkononi ikamwagika...ndani ya ndege nikasikia sauti za vilio tu.
Kwa kweli huwa sipendi kusafiri kwa ndege.
My firsst trip wakati ndege ina take off nilihisi inaunguruma sana,nikawa naogopa nahisi imeshindwa kupaa, kupiga jicho pembeni wenzangu hawana stori meungine anasone kitavu,huyu kalala hawa wanaongea nikajua kumbe ni kawaida!Kuna route za Massa kama 14 hivi hewani niliwahi kuruka ila sina hamu nazo Tena Dubai-Washington na Perth-Jburg non stop duuh.Mijitu inakoroma mm niko macho (uoga),nakunywa kilevi usingizi hakuna.Ndege ni salama ila hatari sana
Sent from my itel it1508 using JamiiForums mobile app
Hata usipichukua tahadhari, kama siku yako bado, hakitokei kitu!Siku yako ikifika imefika tuu, lakini tahadhari ni muhimu pia!!!!
Ngoja nikariri siku nikibahatika kuipanda nikae koridoni!!!
Punguza uoga.Sasa huko ni kutishana ujue
Hasa wakati wa kutua na kupaa au ikiktana na mawingu mazitousafiri wa anga sijawahi kuuzoea na sitokaa niuzoee, roho mkononi muda wote
bombadia ya magu iyoAisee juzi nimepanda ndege ikafika sehemu ikapata turbulence moja mbaya sana.
Nilihisi ndo basi tena.
Nilikuwa nimeshika juisi mkononi ikamwagika...ndani ya ndege nikasikia sauti za vilio tu.
Kwa kweli huwa sipendi kusafiri kwa ndege.
Ewaa.. hebu niwekee kinamba kwa mwaka huu mkuu kama una data.Idadi ya safari/vifo au ajali
Ndege ndio usafiri salama zaidi duniani, maelfu ya ndege yanasafiri duniani kila siku, lakini unaweza kukaa wiki hujasikia ajali yyte, tofauti na gari na trainNdege.. hapana kwa kweli.. hiv kigezo kipi wamechukulia kuwa ndege ni usafiri salama zaidi..
Sijui kwanin ila kwangu treni nina imani nayo zaidi.